Mm nafanya mtihani kidato cha sita na ninachukua HKL lkn nilifanya makosa kwenye usajili GS sijafany

Sorry nimekosea ila nimeandika vzr kwenye page nyingine
 
private candidate or school candidate

bt navyojua mimi GS ni lazima kwa wote

sasa wewe umesajiliwa vp
 
Yote sawa ila mm nafanya mtihani kama PC na mambo mengi yalifanyika kwa msaada wa watu nilibanwa na shughuli hivyo ulichoomba ndicho baraza walichokukubalia SK hizi kila kitu ni document kama karatasi yako haionyeshi utafanya somo husika huwezi kufanya.
 
mh....hii kesi nzitoo
 
Pole sa ulikuwa wapi kusema hivi?
Baba V maelezo yashanyooka msaidie kijana
 
Last edited by a moderator:
Hata mi ishu ilinitokea nkafanya paper la six pc bla kufanya gs kwenye masomo ya HGK matokeo yalvyotoka history=d,geography=c na kiswahili=d,division 3 point 11,nikaenda zangu chuo mwaka 2008 kiroho safiii
 
ok..... congratulation......!!!!kumbe adhabu yake ni sawa na mtu aliyefanya then akapata F...!!!!Duuh
 
Last edited by a moderator:
We aisee ufeli tu hata kujieleza huwezi?form six?
 
Back
Top Bottom