Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wa kimawazo hapo inakuwaje
watahiniwa wote somo la general study lazima wafanye
Naomba wa kimawazo hapo inakuwaje
Muulize mkurugenzi wako wa Necta akusaidie mawazo. Na kama hukufanya basi wewe ni mvuta bangi uliye kubuhu unashindwa hata kuingia ppr ya kwanza.
Sorry nimekosea ila nimeandika vzr kwenye page nyingine
Yote sawa ila mm nafanya mtihani kama PC na mambo mengi yalifanyika kwa msaada wa watu nilibanwa na shughuli hivyo ulichoomba ndicho baraza walichokukubalia SK hizi kila kitu ni document kama karatasi yako haionyeshi utafanya somo husika huwezi kufanya.

Hata mi ishu ilinitokea nkafanya paper la six pc bla kufanya gs kwenye masomo ya HGK matokeo yalvyotoka history=d,geography=c na kiswahili=d,division 3 point 11,nikaenda zangu chuo mwaka 2008 kiroho safiii