Hapana ndg yangu kwa yule mtt naweza kusema amestahili alikuwa akibadilika kila mara...Kulinganisha shindano lile na BSS ni utani mBAYA.....nakwenye tasnia ya Film haihitaji umri cz kuna flm nyingine zina hitaji scene za watt km yy itakuwaje watamtumia mtu mzima?
Kuna movie nilijikuta naitazama ilionyeshwa EATV,yule wa kuitwa wolper kaigiza ndio mtoto na baba yake ni jamaa flani hivi,tuchukulie kimuonekano kama Ray.
Ilinibidi nikaushe tu,maana ukisema siku hizi unaitwa Hater.
"Nlikuwepo!:bolt:
Wa kike au kiume?Mtoto mmachinga mwanaafa kutoka nanjilinji ntwara amenyakua millioni 50 za TMT.
Wa kike au kiume?
Hivi mnajua milionea ana hela ngapi?
Sasa mimi nimetaka maharage wewe unaniletea urojo?Mimi na Nanjilinji wapi na wapi?Niambie ni SHE or HE?Hamna sehemu inaitwa Nanjilinji MKOANI Mtwara.
Lakini Mwanaafa anatoka Mjini Mtwara na siyi Ntwara. Sehem tajwa Nanjilinji iko Mkoani Lindi. Sasa kama Lindi ndo Mtwara sawa. Au Singida ndo Dodoma sawa.
Dogo alikua analia sanaaaaa mpaka nikawa najiuliza huyu vip
1.Anajua majukumu yatamuelemea kwa ndugu kuanza kujifanya wanamjua na ni ndugu zao sana.
2.Baba alimtosa au ???manaake alikua analia nakuita mama mama mama
3.Alikua anafurahia hizo pesa au
4.Alikua anafurahia ustaa?
Mama alikausha hata machozi ya furaha h
akuyatoa.
Wa kike au kiume?
wingi unaanza na 2
ukiwa na
MILLION 2 wewe ni millionea
ukupunguza tsh 1/= hutakua na mill2 tena utakua na mill 1 na laki.....
ukiwa na Bill 1 utaitwa millionea
ukiwa na billion 2 wewe utautwa bilionea
huyo dogo ana mill 50 kwa hiyo ni milionea.