Mmachinga aibuka millionea

Mmachinga aibuka millionea

Hongera zake, muda wote alikuwa kambini vipi masomo shuleni au walimwekea tuition?
 
Picha jamani wrngine hatumfahamu

MWANAAFA.jpg

_MG_6469.JPG

IMG_3862.JPG
 
ngoja na mimi nibet kwa bidii iposiku ntashinda milion 19999900
 
Hapana ndg yangu kwa yule mtt naweza kusema amestahili alikuwa akibadilika kila mara...Kulinganisha shindano lile na BSS ni utani mBAYA.....nakwenye tasnia ya Film haihitaji umri cz kuna flm nyingine zina hitaji scene za watt km yy itakuwaje watamtumia mtu mzima?

Kuna movie nilijikuta naitazama ilionyeshwa EATV,yule wa kuitwa wolper kaigiza ndio mtoto na baba yake ni jamaa flani hivi,tuchukulie kimuonekano kama Ray.
Ilinibidi nikaushe tu,maana ukisema siku hizi unaitwa Hater.

"Nlikuwepo!:bolt:
 
Ndg yangu wabongo tuna taabu sana utashangaa pamoja na hiyo michanganyo utakuta mtu huyo anajitapa kweli kweli kwamba amefanya kz nzuri ndiomaana cc wengine tumewadharau cku nyingi....Nataka niweke matumaini yangu kwa hawa jamaa wa TmT labda wanaweza kuwa na kitu kipya sababu hawa wababaishaji waliopo kwenye hiyo GAME wanacngizia kutokuwa na pesa ndiosababu wanalipua kz sasa hawa jamaa inaonekana pesa si issue kwao manake hata CAMERA wanazotumia sio.zile wanazotumia.Bongo movie zakupigia kwenye harusi..ni issue ya muda tutajua...
 
Kuna kitu cha kujifunza hapa siomnalalamika tu

Kwenye Kilimanjaro mwaka ulee

kulikua na wasanii 2 tofauti

1.Mrisho mpoto na mwimbo wa MJOMBA

2.Mpoki na wimbo wa SHANGAZI

ambao alibadili maneno ila maudhui kwa kiasi kikubwa yalikua yaleyale ila utani u..

KATIKA SHINDANO HILO AMBALO WOTE WALIKUA KUNDI MOJA Mpoki aliibukaa mshindi !!!!Kwa nini????

1.Mpoki ni maarufu kuliko mpoto

2.Mpoki alitumia comedy show kujitangaza

3.Mpoki alitokea kupendwa sana

mwisho wa siku mrisho mpoto alisikitika sana baada ya kutua ughaibuni na kufungua website akiamini angekua mshindi ila mambo yalikua tofauti.

Mwanaafa licha ya uwezo wake kua ulionekana kubadilikabadilika kila siku kwa kukua inawezekana alipata kura nyingi sana za HURUMA KUTOKA KWA WANANCHI.

TUKUMBUKE KUWAPIGIA KURA TUNAOWAPENDA SIO TUNALALAMIKA TUU KUWA MSHINDI ALITAKIWA AWE FULANI WAKATI KURA HUPIGI.
 
Dogo alikua analia sanaaaaa mpaka nikawa najiuliza huyu vip
1.Anajua majukumu yatamuelemea kwa ndugu kuanza kujifanya wanamjua na ni ndugu zao sana.

2.Baba alimtosa au ???manaake alikua analia nakuita mama mama mama

3.Alikua anafurahia hizo pesa au

4.Alikua anafurahia ustaa?

Mama alikausha hata machozi ya furaha h
akuyatoa.
 
Hivi mnajua milionea ana hela ngapi?
 
Wa kike au kiume?

Hamna sehemu inaitwa Nanjilinji MKOANI Mtwara.
Lakini Mwanaafa anatoka Mjini Mtwara na siyi Ntwara. Sehem tajwa Nanjilinji iko Mkoani Lindi. Sasa kama Lindi ndo Mtwara sawa. Au Singida ndo Dodoma sawa.
 
Hivi mnajua milionea ana hela ngapi?

wingi unaanza na 2

ukiwa na

MILLION 2 wewe ni millionea

ukupunguza tsh 1/= hutakua na mill2 tena utakua na mill 1 na laki.....

ukiwa na Bill 1 utaitwa millionea

ukiwa na billion 2 wewe utautwa bilionea

huyo dogo ana mill 50 kwa hiyo ni milionea.
 
afu nanjilinji iko LINDI
Arafa ashukuru PRIDE FM MTWARA maana wamempa support kweli ya kumpigia kura walikua wanatangaza washabiki wampigie kura kila baada ya mda kwenye radio yao
 
Hamna sehemu inaitwa Nanjilinji MKOANI Mtwara.
Lakini Mwanaafa anatoka Mjini Mtwara na siyi Ntwara. Sehem tajwa Nanjilinji iko Mkoani Lindi. Sasa kama Lindi ndo Mtwara sawa. Au Singida ndo Dodoma sawa.
Sasa mimi nimetaka maharage wewe unaniletea urojo?Mimi na Nanjilinji wapi na wapi?Niambie ni SHE or HE?
 
Dogo alikua analia sanaaaaa mpaka nikawa najiuliza huyu vip
1.Anajua majukumu yatamuelemea kwa ndugu kuanza kujifanya wanamjua na ni ndugu zao sana.

2.Baba alimtosa au ???manaake alikua analia nakuita mama mama mama

3.Alikua anafurahia hizo pesa au

4.Alikua anafurahia ustaa?

Mama alikausha hata machozi ya furaha h
akuyatoa.

Weee mama hukumuona machozi yalikua yanamlenga lengaa, hakuaminii bado mdogo kupata kiasi kile kikubwaa we achaaa
 
Mshindi wa TMT mwanaafa mwinzango akiwa kariakoo akifanya shoping kwa ajili ya mama yake akiwa chini ya ulinzi mkali kutoka mabodyguards wa TMT akisindikizwa na matron pamoja na maid wa tmt
_MG_6557.JPG
 
wingi unaanza na 2

ukiwa na

MILLION 2 wewe ni millionea

ukupunguza tsh 1/= hutakua na mill2 tena utakua na mill 1 na laki.....

ukiwa na Bill 1 utaitwa millionea

ukiwa na billion 2 wewe utautwa bilionea

huyo dogo ana mill 50 kwa hiyo ni milionea.

Muwe mnapitia hata google itawasaidia.
Millionaire ni mtu mwenye million dollar
 
Back
Top Bottom