Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.
Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .
Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π π π π aiseeShetani ajifunze kwako mtoa mada
Tena si ndogo.
Wewe ajuza hupendi umbea?Wanawake mnapenda umbea sana
Hakuna cha siri wala nini, ameshachezea cha mbavu huko.Si kweli,sema Harmo ameamua maisha yake ya ndoa yawe siri.
Dahh... !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi uncle ?Ila Hance bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]