Tetesi: Mmakonde na Sarah wameachana

Tetesi: Mmakonde na Sarah wameachana

Mwanaume kuleta hbr za kisnitch ni ushoga

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mlisema bila Diamond, yakapita, eti leo Sarah!
Umelogwa wewe
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20200213-225250_1581623755554.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili hizi ndo ulikuwa unanyanyua mdomo kule kwenye trigi... Aisee una vituko sana.
 
huyu jamaa hakuwah pata misuko suko kwenye mziki wake ndo maana alichukulia poa sana kujitegemea aliposhikwa masikio, acha ajifunze kwa vitendo
 
Back
Top Bottom