herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
kuna haja gani ya kutaja kabila lake??? Ungeandika Harmonize ingetosha
kwan ye anajipromote vpkuna haja gani ya kutaja kabila lake??? Ungeandika Harmonize ingetosha
nazan haelewi maana ya konde boy
nazan ye ndo kawafataHao EATV juz kat si walikua wanazurula na kiba..saiz wmehamia kwa konde?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zembela yupo wapi Kwan sasa? Oyaaaaa yupo WCB bobNi mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea
Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo iliyokuwa ikimmiliki na hizo media.
Alianza na clouds, E Fm na sasa rasmi Ea Radio na Tv zimeanza kupiga kazi zake
Je inaweza msogeza mbele zaidi katika mziki wake kutokana na support atayoipata..?
View attachment 1371246
hahahaaaa atakuwa n ntu tuKwani mmakonde si ntu?
okaywala hainistui π³ π³ wengi hatunaga muda wa tv kabisa sikuhizi ukiachana na kucheki taarifa ya habari na mpira, Mambo yote ya mziki nayamalizia kwenye internet, Kwangu Youtube na instagram ndio vimekuwa vyombo vyangu vya habari za burudani,
Sasa kwamfano unatoa wapi hela ya bando wakati unasikiliza radio masaa 24 kwa siku 7 mfululizo......tafuta kazi aiseeokay
kwa uzuri umesema ww.. ss wengine bando ni shida ko kuzikiliza radio ni 24/7,
SavageSasa kwamfano unatoa wapi hela ya bando wakati unasikiliza radio masaa 24 kwa siku 7 mfululizo......tafuta kazi aisee