herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
Ni mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea
Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo iliyokuwa ikimmiliki na hizo media.
Alianza na clouds, E Fm na sasa rasmi Ea Radio na Tv zimeanza kupiga kazi zake
Je inaweza msogeza mbele zaidi katika mziki wake kutokana na support atayoipata..?