Mmasai apandishwa basi la mwendo kasi akidanganywa linafika Arusha

Mmasai apandishwa basi la mwendo kasi akidanganywa linafika Arusha

Focus120

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
1,089
Reaction score
793
Mmasai mmoja mwenyeji wa karatu, amepandishwa *Mwendo Kasi* akiwa na lengo la kufika Arusha, mmasai huyo aliyeonekana mkali sana akiwa eneo la Kimara baada ya kuambiwa watu kuwa basi letu limefika mwisho.

Hapo ndio akaanza kuhoji eti rafiki kwani Arusha imefika, baada ya kujibiwa Hii haiendi Arusha. Ndio akaanza kuwaka Kwa kudai *_'...ile kijana Ubungo nimelipa 35,000/= na kunileta Kwa Hii basi yao mpya! Sasa Hii inatangaza kuwa imefika mwisho, Kwani Hii Arusha...?_*

Note:
_Sina Uhakika kama hii habari ni kweli au lah. Ila Bongo ni jiji la matukio yaweza kuwa kweli_
 
Back
Top Bottom