SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ni weweUmetumwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni weweUmetumwa!
Au kaunga mkono juhudiAtakuwa katekwa na CCM
Wewe ulikuwepo?Mara ya mwisho alikuwa machame kwa mbowe nyumbani labda Mbowe ni CCM!
Muulize Mbowe!Wewe ulikuwepo?
Hujajibu swali langu.. Lijibu tafadhaliSwali mufilisi hapa kwenye jukwaa la siasa ni aibu kuvaa uhusika wa mkewe na kuambatana na kijiwivu!
Why not mumeo?Muulize Mbowe!
Vipi ashakutambaa!Why not mumeo?
Sijui wewe dada anguVipi ashakutambaa!
Swali gani zaidi ya umeuliza kama mke wa mbowe Mungu amewalaani wajifananishao na wanawake!Hujajibu swali langu.. Lijibu tafadhali
Naona una kisirani cha mimba unadandia kila mtu ila utajifungua tu mama!Sijui wewe dada angu
Hujajibu swali kiongozi acha virojaSwali gani zaidi ya umeuliza kama mke wa mbowe Mungu amewalaani wajifananishao na wanawake!
Trump keshasema wàhame huko USA hataki hizo habari zà akina Amsterdam.Si ajabu yuko Ubelgiji na Tundu Lisu
Huyu nahisi ni Daud Albert Bashite a.k.a Nigrastratatract nerve a.k.a mbingunikwetuPia namuulizia Bia yetu
Yupo matanga na MBOWE wake. TL kawasasambua hata Erythrocyte unaona alivyoufyataKama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
Huyo hanaga cha kuandika ni kama ngiri maji tu mbele yupo nyuma yupoHaina afya sana hii.. Mkewe akikuuliza unamtakia nini utajibuje
Uzuri wa ngiri maji wanafahamiana!Huyo hanaga cha kuandika ni kama ngiri maji tu mbele yupo nyuma yupo
Ngili maji ni busha wewe hapo tumetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno. Busha linaenda mbele na nyuma . Halina msimamoUzuri wa ngiri maji wanafahamiana!
Huna maneno!Ngili maji ni busha wewe hapo tumetumia tafsida kupunguza ukali wa maneno. Busha linaenda mbele na nyuma . Halina msimamo
Na yeye mnataka kumuua?Yupo matanga na MBOWE wake. TL kawasasambua hata Erythrocyte unaona alivyoufyata