Mmbwana Samatta special thread

Mmbwana Samatta special thread

1472218598429.jpg
 
Saizi kijana wetu yuko dimbani, mungu amtangulie apige goli ata moja, haijalish ata km watafungwa ila ye aingine kambani
 
Mbwana Samatta kama kawaida yupo ndani ya kikosi cha kwanza
 

Attachments

  • 1472409210477.jpg
    1472409210477.jpg
    34.5 KB · Views: 47
Huo ndio mtazamo wake katika soka cha ajabu atakwambia anwaza kuwa steick mkubwa dunian
 
Back
Top Bottom