Tetesi: Mme amini wakuu wamikoa wote mkuu ana wapenda....

Tetesi: Mme amini wakuu wamikoa wote mkuu ana wapenda....

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mme amini mkuu ni wawote na kile alikifanya bwana fulani ilikuwa nikuligologa na kama sio kulikologa alijichanganya kiaina....
Mbona hapakuwa na pingamiz kwa mikoa mingine ila yeye tu...
Kuna majitu wanasema katumwa acheni kufikiri kwa puwa yani mkuu akahangaike na maredio hana kazi zakufanya...
Upumbavu yani mkuu akamtume mkuu wake wa mkoa kufanya jambo la aibu kwa serikali yake...
Basi subirini muone najuwa sas niwakati wakumtenga rais wetu na fitina zakijinga
Haya basi subirini muone
 
Back
Top Bottom