ChaMtuMavi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2008
- 330
- 9
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.
Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.
Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.
Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
Angalia tu asije akakutia kidole.... machoni.
Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!kinachokuchosha nini hapo????.......... kuvaa? je angekuwa anakuvua na kukutaka uende kazini na kengele zinagongwa ungesemaje??.........anajinafasi tu ndani ya eneo lake la kujidai............ ndio raha yake, ndio udhaaifu wake.......... ukimkatalia utamyima raha ya maisha............. msapoti, ikiwezekana uwe unazinuua wewe........... na usisubiri akuvishe, vaa mwenyewe.......... kuna ubaya gani? si nguo tu????? tena ukishavaa uwe na amani na furaha tele................. maisha yaendelee kwa raha zenu...............
Kama ni kwa ajili ya mapenzi, kuna ubaya gani akimtia kidole?
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.
Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.
Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.
Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!
What's love gotta do with it? Watu wanatimiza fantasies zao tu. Mapenzi hayatakiwi kuwa na ma control freaks kama hawa.
..
......
Saa nyingine nafikiri JF fix nyingi sana hapa.
ila jamani haipendezi!yaani umvalishe mwanaume wako chupi yako umlazimishe aende nayo kazini!je bahati mbaya akiwa mbele za watu shati lipande juu watu waione si aibu!na hivi siku hizi wanawake ni mwendo wa vi g-strings tu au yeye wifi anavaa bado yale mabukta!ngoja nisiuliza sana cha msingi ni furaha ktk ndoa yenu!Huyo ndo mtu MWANAMKE bwana, yani kuhangaika tuu kila wakati kusipokuwa na sababu, njiwa wa kwako mwenyewe manati ya nini. Wee timiza wajibu wako, ukiona vipi mambo si mambo ondoka, kwani kuachana ni kifo. Mambo mengine mimi nayaitaga ni USLAVE MASTER/MISTRESS. Why, why! kwanza nadhani huyo jamaa namuona ***** kweli. Have some reasoning wanawake wenzangu jamaani. Mimi ingekuwa huyo dada, kama kweli nataka mme wangu avae chupi yangu (na kwa nini atake, kama amekupenda atavaa mwenyewe bila ya wewe hata kumwambia) ningemuuliza kama yuko willing kuvaa au la, na sio kumlazimisha kwa sababu zako fulani fulani. Khaaa!
Huwezi kuja JF kutafuta ushauri kwa kuwa mkeo anakuvisha chupi, mumeo anataka kukuingilia kinyume na maumbile, msichana mwenzio anakutaka kimapenzi.
Haya mambo kwa self cognizant, living his/her principles anajua jibu au/na cha kufanya.
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.
Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.
Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.
Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
Ooo my God! Kweli humu ndani kunavituko, kaka wewe vaaa tuu kwa kumridhisha na kujiaminishia kwake kwamba anacho fikiria sicho. Tena mwambia ukivaa kwa kweli unajisikia raha mpaka basi na siku yako huwa ya amani na raha tele then mbusu. Ivue mbele yake mpe akafue.