huyo ana mtega tu, ingekuwa nia ni mapenzi basi asingemkagua akirudi nyumbani. Nia yake ni kutaka kujua kama mumewe huwa ana-cheat mchana na mwanamke mwingine, say at lunch time or whatsoever. Lazima manii zitababaki baki na kuganda kwenye chupi hata mwanaume angeoga vipi. Au hata harufu yake pia huwa inabaki.
Sasa kwa wataalamu wa cheating hapa mjini huwa wanabeba chupi za ziada kwenye buti la gari.....!!! Akimaliza ku-cheat anaoga, kisha anavaa chupi kwa masaa kadhaa, halafu muda mfupi kabla ya kwenda home anajisafisha na anavaa chupi nyingine iliyo safi.
angalizo: Sijasema wanawake mkakague mabuti ya magari ya waume zenu, shauri yenu, mimi simo