Mme wa shangazi nimwiteje?

Ni babu ila watoto wake ni binahamu kwa heshima tuna waita dada kwaiyo mme wa shangazi tuna muhita babu sababu sio wa familiya Yetu ameonganishwa na shangazi na kuwa mtani wetu wabembe kigoma
 
Kaka wa mama naye uta muita je? Sio ni vizuri kumuita sawa na asili yenu basi sababu kiswahili kina unganishwa na asili ya Rugha zetu za Afrika pamoja na maneno ya asili japo ndani kuna patikana kiharabu na kingereza
 
mwite john, Juma, Hamisi, Jarome, mrisho, pinda, rostam, paulo, cameroon, pasco,Redgiant,malcom etc au hana jina?
 
sisi watu wa tanga tunaita baba shangazi
 
Salaam wana jf
naomba msaada wa hilo swali langu na kama limo humu nisaidieni tu kwani natumia simu ambapo nashindwa kuaccess
ahsanteni
Me nadhan hutegemea na asili ya mtu husika coz ss tunaita baba shangaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…