Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani haya ni maandalizi ya kuhalalisha kubanjua binti zake, maana kwetu ukwereni binamu nyama ya hamu!kwa sisi wakwere
mke wa mjomba tunamuita mkwe
kwetu tunaita "mkaza shangazi"
Anaitwa kikunio cha shangazi!
Me nadhan hutegemea na asili ya mtu husika coz ss tunaita baba shangazSalaam wana jf
naomba msaada wa hilo swali langu na kama limo humu nisaidieni tu kwani natumia simu ambapo nashindwa kuaccess
ahsanteni