Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Watu wengi hufikiri uchungu wa bia unatokana na pombe. Uchungu wa bia hutokana na mmea unaoitwa hop. Watengenezaji wa pombe hutumia mimea mbalimbali kuzipa pombe ladha mbalimbali. Mmoja wa mmea huo ni hop ambao huzipa bia uchungu. Mmea huu upo jamii moja na mmea wa bangi lakini hauna kemikali kama za bangi.







 
Kama mmea ni jamii ya bangi, ndio bamgi hiyo.
Hivyo wanywa pombe nao ni wanywa bangi tu.

Tofauti mmoja anavuta mwingine anakunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…