Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

Mmea huu ndiyo hufanya bia ziwe chungu

 
Ukiutafuna hivi hivi unalewa??
Ukiutafuna bila kuupitisha kwenye hatua zake za matumizi utaendesha kuliko mashindano ya magari, mfano, ili upate mkaa kuni lazima ipitie hatua zake za utengenezaji japo unatumia moto, ukiichoma moto kuni kisha ukaizima, hautapata mkaa kwenye ubora wake.
 
Back
Top Bottom