Wakati mwingine unaogopesha Mzee, kiufupi hatupo salamaIgweeeeeeeee hii ni zaidi ya moto ask me not... π€π
Nihivi nasema ni hivi... Baada ya ule muswaada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi.
Baada ya kujuwa wanoko hawa KUPITIA vijana wanaonukia nakulamba maji ya bendera kwa Uhai ama kifo muswaada ukapelekwa bungeni. Nakitaluni wakapitisha kwa kishindo...
Sasa baada yakupitisha na sheria zenu kuanzia idara hiyo ipo chini ya state... From Hayati Baba to date idara ipo state. Why wanajuwa walio pitisha.
Sasa tunapeleka muswaada wa Bandari je nani ataliponya Taifa? Who is behind this? ππ€ππ€ππ
Watanzania Mtanikumbuka sio kwa mabaya ila Mazuri" RIP Baba.
kauli ya incharge hata madogo smart hawazingui tena maana mwanzoni walikuwa na nguvu ila hapo ndo imepokwa kisanii na hili la sehemu ya kutua ngalawa nalo akinena anenavyo wale vijana hawana cha kumfanya incharge kwa kuwa washakatwa pumzi. mwanzoni walitutetea sana behind the seen bila sisi kuelewa nasemaje nasemaje narudia tena nasemajee mbombo ngafu.Wakati mwingine unaogopesha Mzee, kiufupi hatupo salama
Kwamba yalikuwa maandalizi!!!bungeni. Nakitaluni wakapitisha kwa kishindo...
Sasa baada yakupitisha na sheria zenu kuanzia idara hiyo ipo chini ya state... From Hayati Baba to date idara ipo state. Why wanajuwa walio pitisha.
Sasa tunapeleka muswaada wa Bandari je nani ataliponya Taifa? Who is behind this? ππ€ππ€ππ
Porojo tenaIgweeeeeeeee hii ni zaidi ya moto ask me not... π€π
Nihivi nasema ni hivi... Baada ya ule muswaada wa wana idara wengi wakapiga makofi kumbe yajayo ni furaha zaidi.
Baada ya kujuwa wanoko hawa KUPITIA vijana wanaonukia nakulamba maji ya bendera kwa Uhai ama kifo muswaada ukapelekwa bungeni. Nakitaluni wakapitisha kwa kishindo...
Sasa baada yakupitisha na sheria zenu kuanzia idara hiyo ipo chini ya state... From Hayati Baba to date idara ipo state. Why wanajuwa walio pitisha.
Sasa tunapeleka muswaada wa Bandari je nani ataliponya Taifa? Who is behind this? ππ€ππ€ππ
Watanzania Mtanikumbuka sio kwa mabaya ila Mazuri" RIP Baba.
Mmhkauli ya incharge hata madogo smart hawazingui tena maana mwanzoni walikuwa na nguvu ila hapo ndo imepokwa kisanii na hili la sehemu ya kutua ngalawa nalo akinena anenavyo wale vijana hawana cha kumfanya incharge kwa kuwa washakatwa pumzi. mwanzoni walitutetea sana behind the seen bila sisi kuelewa nasemaje nasemaje narudia tena nasemajee mbombo ngafu.
100% correctYule Baba nae alikuwa lijizi tu angekuwa nania njema angetujengea misingi bora Rais asiwe kama mungu.
Kwa kweli aanguke nalo tu.MENE, MENE, TEKELI & PERESI.
Jumba bovu limewekwa kimkakati ili lipate kuanguka pamoja naye. Naye ameingia kichwa kichwa, na ni lazima aanguke tu. Watch out!