Mmeanza kuniamini niliposema Ligi ya Msimu 2021/22 ilimalizika Mtibwa?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kumradhi. kwenye kichwa cha uzi ni MTIBWA na sio KAGERA.

Siku kadhaa zimepita tangu niweke bayana ukweli usiopenda na mwanadamu haoa jukwaani.

Ila cha ajabu walinifuata Inbox na kunitupia Matusi.

Wengi walisema ndio kwanza Ligi imeanza, hivyo mwanya wa alama 7 wala si wakutisha sana.

Naona sasa wengi mliokuwa mkinitukana mmeanza kuja Inbox na kunisifia kwa kuona mbali.

Hitimisho langu la kumpa ubingwa Yanga SC baada ya mechi 13 ulichochewa zaidi na tathmini ya mienendo ya timu zilizopo.

Wala sikukurupuka.

Sasa ni mwanya wa Alama 10 na bado wapo wapuuzi wanao amini Yanga SC itapoteza mechi 3 na kutoa Sare mechi moja.

Na wapo wajinga zaidi wanao amini Yanga SC itatoa sare mechi 5 na kuwa sawa kwa alama na Makolo FC.

Sasa hivi ukinifuata Inbox na matusi ninakupiga block.

Nyambaaafuuuuuuuiiiiii.
 
Siku inakuja utakuja kugundua kuwa ww ndiyo mpuuzi kiwango Cha she. Zuzu kwelikweli.
 
Kwa sasa makolo wana hitaji mtaalam wa psychology na si mtaalam wa mpira, cos wana kila kitu kinacho takiwa kwenye mpira lakini bado wanafungwa fungwa na kutoa draw ovyo ovyo………..,!
La alamba je, utajuaje? Amandla.
 
Utakuwa shabiki wa rede ila shabiki wa mpira hawezi kusema haiwezekani kupoteza points 10. Jivunie hilo gap la points 10 ila ni mpuuzi tu ndie usema haiwezekani kuzipoteza.
 
Endelea kuishi ndotoni.
 
Kumradhi. kwenye kichwa cha uzi ni MTIBWA na sio KAGERA.

Siku kadhaa zimepita tangu niweke bayana ukweli usiopenda na mwanadamu haoa jukwaani.

Ila cha ajabu walinifuata Inbox na kunitupia Matusi.

Wengi walisema ndio kwanza Ligi imeanza, hivyo mwanya wa alama 7 wala si wakutisha sana.

Naona sasa wengi mliokuwa mkinitukana mmeanza kuja Inbox na kunisifia kwa kuona mbali.

Hitimisho langu la kumpa ubingwa Yanga SC baada ya mechi 13 ulichochewa zaidi na tathmini ya mienendo ya timu zilizopo.

Wala sikukurupuka.

Sasa ni mwanya wa Alama 10 na bado wapo wapuuzi wanao amini Yanga SC itapoteza mechi 3 na kutoa Sare mechi moja.

Na wapo wajinga zaidi wanao amini Yanga SC itatoa sare mechi 5 na kuwa sawa kwa alama na Makolo FC.

Sasa hivi ukinifuata Inbox na matusi ninakupiga block.

Nyambaaafuuuuuuuiiiiii.
Mpira hauko hivyo ndugu ,Ni kweli yanga yupo Zaid point 10 lakin kwenye mpira lolote linaweza tokea ,zimebak mechi 17 so kupoteza mechi 3 au 4 kwa yanga inawezakana vzr Sana tu na pengine Zaid ya hizo game 4.
Point yako ingekuwa na mantiki ungesema Wakati yanga anapoteza hizo game je Simba yeye hawezi kupoteza game hata moja? Hiyo ndio ingekua point.

Pia watu wa yanga wanamuwaza Simba tu wanasahau kuwa Azam na Mbeya city nao wanakuja kwa Kasi ya 5g hasa Azam .

Ligi Bado hii mpira una maajabu mengi sana
 
Haya bhana. Tuendelee kungoja Yanga SC ipoteze alama 10.
20220126_191649.jpg
 
Kumradhi. kwenye kichwa cha uzi ni MTIBWA na sio KAGERA.

Siku kadhaa zimepita tangu niweke bayana ukweli usiopenda na mwanadamu haoa jukwaani.

Ila cha ajabu walinifuata Inbox na kunitupia Matusi.

Wengi walisema ndio kwanza Ligi imeanza, hivyo mwanya wa alama 7 wala si wakutisha sana.

Naona sasa wengi mliokuwa mkinitukana mmeanza kuja Inbox na kunisifia kwa kuona mbali.

Hitimisho langu la kumpa ubingwa Yanga SC baada ya mechi 13 ulichochewa zaidi na tathmini ya mienendo ya timu zilizopo.

Wala sikukurupuka.

Sasa ni mwanya wa Alama 10 na bado wapo wapuuzi wanao amini Yanga SC itapoteza mechi 3 na kutoa Sare mechi moja.

Na wapo wajinga zaidi wanao amini Yanga SC itatoa sare mechi 5 na kuwa sawa kwa alama na Makolo FC.

Sasa hivi ukinifuata Inbox na matusi ninakupiga block.

Nyambaaafuuuuuuuiiiiii.
Acha hao mbwiga waendelee kuamini Yanga atadondosha pointi 10...
 
Simba mwisho wa msimu bingwa, kubali au kataa.
 
Back
Top Bottom