demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kumradhi. kwenye kichwa cha uzi ni MTIBWA na sio KAGERA.
Siku kadhaa zimepita tangu niweke bayana ukweli usiopenda na mwanadamu haoa jukwaani.
Ila cha ajabu walinifuata Inbox na kunitupia Matusi.
Wengi walisema ndio kwanza Ligi imeanza, hivyo mwanya wa alama 7 wala si wakutisha sana.
Naona sasa wengi mliokuwa mkinitukana mmeanza kuja Inbox na kunisifia kwa kuona mbali.
Hitimisho langu la kumpa ubingwa Yanga SC baada ya mechi 13 ulichochewa zaidi na tathmini ya mienendo ya timu zilizopo.
Wala sikukurupuka.
Sasa ni mwanya wa Alama 10 na bado wapo wapuuzi wanao amini Yanga SC itapoteza mechi 3 na kutoa Sare mechi moja.
Na wapo wajinga zaidi wanao amini Yanga SC itatoa sare mechi 5 na kuwa sawa kwa alama na Makolo FC.
Sasa hivi ukinifuata Inbox na matusi ninakupiga block.
Nyambaaafuuuuuuuiiiiii.