Mmejisifu vya kutosha,eti sisi tumechaguliwa vyuo vya kata.

sir imma

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
75
Reaction score
7
Hata chuo nlichochaguliwa ni chuo ndo maana TCU wakakitabua,Kuna product nzur znatoka kwy hv chuo mnavyoviita vya kata.So tuheshimiane jaman!
 
kuna mambulula humu ndan wanajiona vichwa xana....dharau nyingi kisa yupo muce!!
 
kwl kabsa kila chuo n chuo mbna wa2 wanaponda vyuo vngne huo n utoto
 
vyuo vengine ni vya kata..chuo hakitangaziwi redioni na kwenye tv kama vinatafuta wanafunzi..
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo
 
Ni vya kata kweli na si uongo??chuo kweli hakitangaziwi kwenye vyombo vya habari eti vinatafuta wanafunzi..
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo

Bora uwambie wewe!!
 
another idiot.
 
Intellectuals huwa hawaongei tetesi au fununu that means always scholar anaongea facts sasa wewe umeskia sikia vitu na wewe unaropoka tuu. Hebu ongea kitu kwa uhakika na uje na hoja za msing kushawish watu kuwa hiv ni vyuo vya kata navingine vya tarafa na kama vya wilaya na mikoa vpo visemen hapo.. kama msom unaongea rumaz tuu inabd tuliombee hili taifa aisee ni hatar sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…