Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata chuo nlichochaguliwa ni chuo ndo maana TCU wakakitabua,Kuna product nzur znatoka kwy hv chuo mnavyoviita vya kata.So tuheshimiane jaman!

kuna mambulula humu ndan wanajiona vichwa xana....dharau nyingi kisa yupo muce!!
kwl kabsa kila chuo n chuo mbna wa2 wanaponda vyuo vngne huo n utoto
weweHv MUCE nacho chuo au shule ya walimu?
wewe
P
U
M
B
A
V
U
U
"mambulula" halaf kisa "yupo" Muce!! ww funguka 2 ukimlenga mmoja usi husishe wote..kuna mambulula humu ndan wanajiona vichwa xana....dharau nyingi kisa yupo muce!!
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo

Bora uwambie wewe!!