Mmejisifu vya kutosha,eti sisi tumechaguliwa vyuo vya kata.

Mmejisifu vya kutosha,eti sisi tumechaguliwa vyuo vya kata.

Hivi na ww apo unajiona ni msomi au unajaza idadi ya ------- NA MAMBULULA WANAO EXIST ktk karne ya 21,,,,wengi humu mnafuata mikumbo 2 na maneno ,,hamjui issue zinazoendelea kwny hivyo vyuo mnavyo vipondea,,acheni taarabu zisizo na maana 2songeshe mbele elimu ye2 Tz,,wangapi wamesoma vyyuo ambavyo mnnavipondea na wana chapaa za kutosha 2 na wengne wamesoma hvyo vyuo ambavyo unavtaja hapo juu na choka mbya 2,,,,famba ww,,think just a little bit
kuna msela kamaliza udsm huwa namuona analima bamia na nyanya pande hizi,so wanaojitapa udsm ebu ngoja tuendelee kuwasiklizia tutapata tu hatima yao.
 
Nyie watoto mnaolumbana hapa tunzeni hizi nguvu zenu mkazitumie huko kwenye vyuo vyenu....Mnachekesha sana mjue.
 
Watu wengine washabiki tuu...chuo chenyewe bado hata kuripoti lakin mbwembwe nyingi warudi huko sekondari wapeleke huo utoto wao
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo

acha pumba wewe mtoto.
Kama vipi nenda tcu ukavifute kwamba havifai.
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo

Kumbe humu ndani kuna mazombiiiii??
 
Jibu rahisi ndugu ni kwamba MUCE ni shule ya walimu wa chekechea

MUCE kama shule ya walimu mbna hawachukui point 2.0 kama chuo chako cha TEKU kjana MUCE bila point 5.0 kwa arts uingii pale yan kupata MUCE n sawa na MLIMANI MAIN CAMPUS sawa
 
mnasoma madrasa mnajisifu ni vyuo,chuo ni kimoja tu
U
D
S
M

Vilaza nyie
 
kichwa chako ndio kitadetermine kila kitu kwani unaweza kusoma chuo chenye jina na heshma kubwa lkn kichwa chako kikawa kibovu.
 
Intellectuals huwa hawaongei tetesi au fununu that means always scholar anaongea facts sasa wewe umeskia sikia vitu na wewe unaropoka tuu. Hebu ongea kitu kwa uhakika na uje na hoja za msing kushawish watu kuwa hiv ni vyuo vya kata navingine vya tarafa na kama vya wilaya na mikoa vpo visemen hapo.. kama msom unaongea rumaz tuu inabd tuliombee hili taifa aisee ni hatar sana..

Nikiukumbuka Msuli wako Advance me hoi.
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo
kwa hiyo saut vyuo vya vya kata? acha matusi wewe.
 
hahaa vyuo Tanzania vipo vinne tu navyo ni Udsm,mzumbe sua na ardhi hapa tukiweka pembeni vyuo vya afya hivyo vingine c vyuo jmani ni shule ambazo wanafunz hawavai unifom hiv kama udom ukimaliza pale utasema umesoma chuo
niambie kirefu cha UDOM then ndo uulize ilo swali lako
 
mkuu usiumize kichwa kwa kufikiria sana watu wanasema nini kuhusu chuo ulichichaguliwa...kwanza hoja unayo kwamba kinatambuliwa na TCU, sasa wasiwasi wako unatoka wapi? jiamini, kuwa intellectual kwa kuwa na fact, so hao waj..nga ji..nga achana nao wewe piga shule maliza uje kuwaajiri katika kampuni yako hao wanaojiona wako vyuo bora zaidi ya wenzao. Inshaallah!
Hata chuo nlichochaguliwa ni chuo ndo maana TCU wakakitabua,Kuna product nzur znatoka kwy hv chuo mnavyoviita vya kata.So tuheshimiane jaman!
 
Back
Top Bottom