Mmekuwa mkimharibia sana Rais na mwishowe kumjengea chuki kwa wananchi wake

[QUOTE = "JalfMoney, chapisho: 34035308, mwanachama: 539165"]
Ninachukia sana. Una kisebengo na kiherehere. Ma threads ina hasinahusu .Magufuli alishasema hapangiwi pia na eneo!
[/ QUOTE]



Hivi! Sasa, hakuna sheria, Taratibu na mfumo zilizomwongoza kwa njia yake? (Maelezo ya Ayubu)
 
Tatizo LA Magu ni moja, kudhani cheo alichonacho ni cha maisha na pia kuwa na washabiki wapuuzi wasio jua ukomo wake.
Pamoja na mengine yote, najaribu kuwaza mtu kama Mwananzila (ambaye ni mwanasiasa) yeye akiondoka madarakani na huyu akapata cheo pengine waziri wizara inayohusiana na mambo ya wastaafu atajisikiaje?
Na kama yeye alivyosukumiziwa ukuu, inashindikana nini Mwananzila Naye kuokota embe chini ya mti kama yeye na kuukwaa ukuu?
Maana yeye ndani ya 25 years katoka kufundisha shule huko kijijini hadi jengo kuu!
 
Magu ni jiwe haambiliki.Ndo maana saiz naamini mtu yeyote anaweza kuwa rais wa nchi hii hata wewe ukiamua kwa sababu magufuli hana hata rangi ya urais.Yani ni kituko na aibu mtu kama magu kuwa ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, japo kiongozi wetu ana madhaifu yake kama binadamu wa kawaida kumbuka huyu ni kiongozi wa nchi yetu. Jaribu kumzungumzia kwa staha kidogo
 
Kwahiyo miaka yake yote minne ulikuwa huoni kuwa anaangushwa na kuharibiwa na Watu wake wa karibu na umekuja kuligundua hili leo ( mwaka huu 2020 ) ambao kuna Uchaguzi Mkuu? Kwa Maelezo yako haya mbona Mimi naona kuwa kwa Wewe kuja na hili Bandiko ndiyo umezidi Kumharibia kabisa Mkuu?
 
Hakuna neno baya hapa.Kama Magufuli ameweza kuwa rais hata wewe unaweza kuwa rais.Watanzania aliyetuloga alishakufa.Kama unaona una uwezo na kitu cha kuoffer kwa nchi yako.Changamkia fursa ulete maendeleo na utawala bora.
Mkuu, japo kiongozi wetu ana madhaifu yake kama binadamu wa kawaida kumbuka huyu ni kiongozi wa nchi yetu. Jaribu kumzungumzia kwa staha kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kabisa 100% sisi kama taifa ni lazima tuwe na malengo ya mbali.Mfano Trump alianza kutangaza kuwa angegombea urais tangia akiwa na miaka 30.Amekaa na kujifunza kwa miaka mingine 30 ndipo akaupata.Lakin leo nchi hii akina mkapa na genge lake wanauwezo wa kufanya maamuzi makubwa kwa watu mil.50 yenye tija kwao na si kwa taifa.Lakin katiba mbovu ndio inayochangia yote haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe mkuu tayari una malengo ya kuwa hata Waziri?
 
A Country is not a Company
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…