Nahisi,alijiandaa kusikiliza kwa njia ya mtandao!Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.
Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM.
Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho chama na ambaye ilielezwa ni mpaka uzeeni hakuna mwingine leo yupo wapi?.
Pamoja na leo Mwenyekiti wa sasa kuwepo mahakamani wakiwepo wadau mbalimbali wa sheria na kisiasa kitoka ndani na nje ya nchi imenifikilisha sana mimi mtu tu kawaida kufika kisutu ila huyu kiongozi mkubwa kabisa aliyeshindwa kutetea kiti cha uenyekiti kushindwa kufika!!.
Nini shida ndugu zangu wanacdm?.
Kuna nini ndani ya pazia?.
Na hiki kinachoendelea huko mtaa wa pili kwa mwenye ubwaubwa kitakuwa na uhusiano naye au ni picha tu za kutaka kushusha mileage za kisutu leo?.
Jamani nani alimuona mwenyekiti aliyamaliza muda wake leo mahakamani kisutu?.
Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.

Team yake ilikwenda kutazama mapishi ta chakula pendwa cha watotoBado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.