Mmeona emperor's new clothes?

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao.

Lakini jee? mmeona emperor's new clothes. Nguo zao are very special, ni wale tu watu wenye taste nzuri ya nguo wanaweza tambua uzuri. Kama we ni mshamba basi hutaona nguo utaona kavaa uchi.

Haya tuwatazame afu tujuzane washamba.

Lady jaydee

Rehema chalamila

Jokate mwengelo

Vanessa mdeee


Faiza ally

Zuchu

Embu niambie nani kapendeza
 

Attachments

  • images (1) (29).jpeg
    26.6 KB · Views: 4
upya wa hayo mavazi ni materials tu. Otherwise huko maeneo fulani ya Singida na Igunga kuna kabila hufunika sehemu za siri za mbele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…