bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Kwa hii karne wanawake wameibuka Kama watawala wapya. Hawa watawala wana nguvu sana, wanalindwa sana. Nguvu zao ni kubwa sana mpaka wanaume wameanza kufanana nao.
Lakini jee? mmeona emperor's new clothes. Nguo zao are very special, ni wale tu watu wenye taste nzuri ya nguo wanaweza tambua uzuri. Kama we ni mshamba basi hutaona nguo utaona kavaa uchi.
Haya tuwatazame afu tujuzane washamba.
Lady jaydee
Rehema chalamila
Jokate mwengelo
Vanessa mdeee
Faiza ally
Zuchu
Embu niambie nani kapendeza