The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa wanaokumbuka viongozi machawa wa dini walivyohanikiza 'kuombea' taifa na kushindwa kuwaambia ukweli watawala na kilichotokea watakubaliana nami.
Kuomba ni kautapeli fulani kwa matapeli wachache kuwadanganya walio wengi hiku wakiwaibia na kuwageza majuha.
Tanzania onahitaji kuambiwa ukweli na si kuombewa kwa vile si maiti.