Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

Mmeona meseji ya kupunguza gharama za tozo/makato twa mitandao ya simu?

Haina majina, haitajumlishwa kwasababu tume "itapika" matokeo ya uchaguzi. Hivi ni mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kumchagua Babu tale, Joseph Msukuma kuwa Mbunge?
kwa nini wasichaguliwe...sio watanzania wenye haki zote za kuchagua na kuchaguliwa? unawatoa watu akili kisa wanafanya usiyoyaweza, ukimchagua nani ndio unakuwa na akili timamu?
 
Naomba kujua, mbona mm naona watia Nia ya ubunge na udiwani kwenye kurasa mbali mbali za mitandao ya kijamii ni ccm pekee?
 
Kama ni wema basi wawalipie Watanzania wote wanaodaiwa kwenye Mabank baada ya uchaguzi waanze upya kukopa.
 
Naomba kujua, mbona mm naona watia Nia ya ubunge na udiwani kwenye kurasa mbali mbali za mitandao ya kijamii ni ccm pekee?
Haya sasa mtu kama huyu naye aje apige kura, unategemea nini?
 
kwa nini wasichaguliwe...sio watanzania wenye haki zote za kuchagua na kuchaguliwa? unawatoa watu akili kisa wanafanya usiyoyaweza, ukimchagua nani n
kwa nini wasichaguliwe...sio watanzania wenye haki zote za kuchagua na kuchaguliwa? unawatoa watu akili kisa wanafanya usiyoyaweza, ukimchagua nan
dio unakuwa na akili timamu

kwa nini wasichaguliwe...sio watanzania wenye haki zote za kuchagua na kuchaguliwa? unawatoa watu akili kisa wanafanya usiyoyaweza, ukimchagua nani ndio unakuwa na akili timamu?
Sawa tusubiri akina Mwijaku na Baba Revo, Shilole waje kuwa wabunge watakao kua wanapitisha sheria mbalimbali za nchi na kupitisha mikataba ya kitaifa na kimataifa.
 
Haya sasa mtu kama huyu naye aje apige kura, unategemea nini?
Mkuu mm nitoe kabisa kwenye huo upuuzi wa kupiga kula,hiyo ck kama nitakua sina kazi, nitakua nakula k, ya mdigo wangu kuliko kupoteza mda Bure kabisa.
 
Nchi yetu iko vizuri kwenye kucheza na akili za raia wake ...
Kila kitu kinafanywa wakati sahihi ..
Ikifka mwezi wa 12 2025 ..kodi ztaongezeka maradufu..
Ili kuzalisha fedha za kununulia V8 za wabunge wapya 😂
UPIGAJI WA KUTUMIA AKILI KUBWA
 
Back
Top Bottom