GE2025 Mmerudisha madiwani, kesho mjiandae na wabunge sekeseke lao

GE2025 Mmerudisha madiwani, kesho mjiandae na wabunge sekeseke lao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
NILIIONA HII HALI
Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie

Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe

Sasa mjiandae na wabunge nao hawatokaa kimya na kutaka warudi kupigiwa kura za maoni

Soma pia: GE2025 - CCM yataka wagombea udiwani wote waliopitishwa na walio kwenye orodha ya awali kurejeshwa ili wapigiwe kura za maoni

1754033937952.png
​
 
Back
Top Bottom