Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Aug 1, 2025 #1 NILIIONA HII HALI Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe Sasa mjiandae na wabunge nao hawatokaa kimya na kutaka warudi kupigiwa kura za maoni Soma pia: GE2025 - CCM yataka wagombea udiwani wote waliopitishwa na walio kwenye orodha ya awali kurejeshwa ili wapigiwe kura za maoni
NILIIONA HII HALI Tukiweka misingi imara ni vyema tuisimamie Ninaona wagombea udiwani Waliongeliwa na walikuepo kwenye orodha wamerejeshwa kupigiwa kura za maoni na wajumbe Sasa mjiandae na wabunge nao hawatokaa kimya na kutaka warudi kupigiwa kura za maoni Soma pia: GE2025 - CCM yataka wagombea udiwani wote waliopitishwa na walio kwenye orodha ya awali kurejeshwa ili wapigiwe kura za maoni