Mmeshamaliza hesabu zenu sasa tulieni Wanamume wamalize na Makombora yao Matatu tu Matakatifu

Kanji ameshaisusa hii timu.

Hamna tena pesa.

Try Again ana haha kila kona, nasikia ameitwa na kigwanomics nyumbani kwake wakajadiri maendeleo ya timu [emoji23][emoji23]
Umesikia vipi
 
Matola kashasema usajili wa Simba umekamilika,timu waliyoenda nayo kambi ndio timu ya kucheza msimu ujao!!
Wee acha uongo wako, wapi kasema? Tutolee upuuzi wako hapa
 
Matola kashasema usajili wa Simba umekamilika,timu waliyoenda nayo kambi ndio timu ya kucheza msimu ujao!!
Matola sio Head Coach wa Simba Sc. yeye naye ni mwajiriwa tu. Angesema Babra au Try again labda inge make sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…