Mmeshawahi kuona kijiwe cha wanywa kahawa wanawake?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Ebu jaribu kutofautisha picha mbili hapo chini kwenye kila angle.

MAGUFULI akiwa Soko la Ferry, Dar es salaam


SAMIA akiwa Soko la Wamachinga parking, Nzega, Tabora.


BINAFSI: Nimeshangaa kijiwe cha wanywa kahawa wanawake, sijawai kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake. Pili utofauti niliouona na Sitting Position za marais, mmoja kakaa katikati ya wazee na rasta man (anaonekana ni mzee wa kumoka), na mwingine kakaa kiti cha peke yake akitizamana na wamama
 
Ccm kama wanaweza kuliteuwa jambazi Makonda kuongoza chama chao unadhani watashindwa jambo gani?
 
Nimeishi nzega tangu 1988,nimecheza mpira viwanja vya parking kabla haijageuzwa kuwa parking ya malori,parking na nzega pana starehe ya tangawizi,mihogo ya kuchemsha na karanga,hao akina mama hawauzi kahawa bali tangawizi
Bora umesema mkuu mana mm najua pale wamama wa chai wapoo
 
Hiyo ilikuwa "Take one" wala usiitilie maanani.
 
Vijiwe vya mchongo hivyo, hata hilo umeshindwa kung'amua?
 
Huyo Rasta sio Pai kweli?? Ama idara

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…