Mmetangulia nami nawafuata. Hodi!

Mmetangulia nami nawafuata. Hodi!

Tangulia

Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
80
Reaction score
12
Nimejiunga nanyi wakuu ili nijifunze kwenu nanyi mpate kile nilichonacho. Natuaini wote tutashinda. Wanasema 'win - win situation'. Mnanikaribisha?
 
Asante sana 'A Father', Globu na Watu8 kwa kunikaribisha. Tupo pamoja!
 
Karibu sana Tangulia!
Mimi, Globu, Dr Zero, Ulimakafu na Watu 8 tuko hapa Mapokezi kwa wiki hii!

"Winning isn't getting ahead of others. It's gettingahead of yourself"
 
Asanteni wakuu Homepage, Ulimakafu, Agosti 8 na wote wa receiption. Kazi iendelee!
 
Back
Top Bottom