Safi sana adui muombee njaa, mi nawaombea sana Simba wamalize nafasi ya 2 kwasababu hizi hapa
a) Azam ni michosho sana Hawa watachukua spot ya kushiriki CAF CL ila watapigwa kwenye mtoano tu wanaweza hata wasifike makundi, Bora tuendelee kui promote ligi yetu
b) Simba wakifanya vizuri mechi za mwisho hizi na kumaliza wa pili watajisahau kuboresha kikosi Chao, ila wakimaliza wa 3 watakivunja karibu kikosi kizima na kufanya overhaul wanaweza kuja kutusumbua msimu ujao
Acha washinde shinde wajisahau kwamba Wana kikosi kibovu ili mwakani tupige kwenye mshono