Mmewaroga akina Saido mmewaacha akina Balua, Karabaka wanauwasha

Mmewaroga akina Saido mmewaacha akina Balua, Karabaka wanauwasha

Mie nadhani wangemuacha juma mgunda tukamuona,,kuliko kuleta watu wa nje aharafu wanachsha tu
 
Safi sana adui muombee njaa, mi nawaombea sana Simba wamalize nafasi ya 2 kwasababu hizi hapa

a) Azam ni michosho sana Hawa watachukua spot ya kushiriki CAF CL ila watapigwa kwenye mtoano tu wanaweza hata wasifike makundi, Bora tuendelee kui promote ligi yetu

b) Simba wakifanya vizuri mechi za mwisho hizi na kumaliza wa pili watajisahau kuboresha kikosi Chao, ila wakimaliza wa 3 watakivunja karibu kikosi kizima na kufanya overhaul wanaweza kuja kutusumbua msimu ujao


Acha washinde shinde wajisahau kwamba Wana kikosi kibovu ili mwakani tupige kwenye mshono
 
Jamaa wamekaza kabisa vidole wametype, mgunda angeachwa kuwa kocha mkuu.
Jinga jingine linakuna linaandika eti Fact.
Shame upo your face. Nyie ndio wakwanza kulalamika.
Hivi mnajua maana ya uzito wa mechi.
Unajua maana ya kumchagua kocha wa viwango flani, mwenye historia flani. Ushindi wa mechi una mambo mengi sana.
Kaeni kimya. Simba inapitia uzito flani. Ukiimarishwa akaja koja mzuri. Na dhahiri atakua wa kigeni maaana bongo hatuna kocha wa viwango vya ligi simba annazoshiriki. Simba lazma itaperform. Huyo mgunda anafaa kuwepo simba and very important kwa distnace flani flani.
 
Back
Top Bottom