Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano?

Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na kuacha njia ile iendayo uzimani kwakua ni nyembamba na kufuata ya kwenda kuzimu kwa vile ni pana na imepambwa maua.

Nilijua mfumo wa vyama vingi uliruhusiwa ili kuwe na demokrasia na siyo vita,leo chadema wanaonekana kama waasi mbele ya utawala hata mawazo ya maana wakisema yanatupwa kapuni na kutukanwa.

Upinzani gani huu wa paka na panya badala ya kushare mawazo na kuyapambanua kwa maslahi mapana
 
Kuna mtu mmoja ndiye kapandikiza hii chuki katika Taifa letu, ila kama Mungu muumba wa nchi aishivyo atavuna alichopanda.
 
Hata Farao alipigwa kwa mapigo ya watu wake ili yeye aonje uchungu
Mbona tayari! Anawatangazia watu mama anaumwa mwaka wa pili sasa hageuki kitandani lakini hata sura za waliokuwa wanampigia makofi hazionyeshi kuhuzunika pamoja naye.
Hiyo ni chuki from within.
 
Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano?
Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na kuacha njia ile iendayo uzimani kwakua ni nyembamba na kufuata ya kwenda kuzimu kwa vile ni pana na imepambwa maua.

View attachment 1480837
.
IMG_20200531_072737_186.jpg
 
Back
Top Bottom