Kuna mtu mmoja ndiye kapandikiza hii chuki katika Taifa letu, ila kama Mungu muumba wa nchi aishivyo atavuna alichopanda.Nilijua mfumo wa vyama vingi uliruhusiwa ili kuwe na demokrasia na siyo vita,leo chadema wanaonekana kama waasi mbele ya utawala hata mawazo ya maana wakisema yanatupwa kapuni na kutukanwa.
Upinzani gani huu wa paka na panya badala ya kushare mawazo na kuyapambanua kwa maslahi mapana
Kuna mtu mmoja ndiye kapandikiza hii chuki katika Taifa letu, ila kama Mungu muumba wa nchi aishivyo atavuna alichopanda.
Mbona tayari! Anawatangazia watu mama anaumwa mwaka wa pili sasa hageuki kitandani lakini hata sura za waliokuwa wanampigia makofi hazionyeshi kuhuzunika pamoja naye.Ipo siku atavuna haya yote pamoja na kujifanya malaika
Mbona tayari! Anawatangazia watu mama anaumwa mwaka wa pili sasa hageuki kitandani lakini hata sura za waliokuwa wanampigia makofi hazionyeshi kuhuzunika pamoja naye.
Hiyo ni chuki from within.
.Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano?
Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na kuacha njia ile iendayo uzimani kwakua ni nyembamba na kufuata ya kwenda kuzimu kwa vile ni pana na imepambwa maua.
View attachment 1480837
Hakika wamepambana mpaka dakika ya mwisho na historia itawakumbuka daima.
Hata unapofurahia kuona mwaka mpya huwa huna uhakika kama na wenyewe utaumaliza ukiwa salama(hai).Wanafurahi ila moyoni hawana uwakika kama mwakani wanarudi mjengoni
Jiwe leo kawaangalia kwa aibu ndani ya nafsi yake.Alikuwa na mahesabu ya wao kutokuwemo mule ndani mpaka siku ya leo.Wamepambana au walikuwa wanakimbia mapambano
Kama jinsi magufuli asivyo na uhakika wa kurudi mpaka anapiga watu risasi.Wanafurahi ila moyoni hawana uwakika kama mwakani wanarudi mjengoni
Jiwe leo kawaangalia kwa aibu ndani ya nafsi yake.Alikuwa na mahesabu ya wao kutokuwemo mule ndani mpaka siku ya leo.
Kama jinsi magufuli asivyo na uhakika wa kurudi mpaka anapiga watu risasi.
Swali:CHADEMA imekufa mpaka Bunge linavunjwa?Ila mnajua kujifariji na hadithi zenu[emoji16]