Wamepambana au walikuwa wanakimbia mapambano
Hawa si walikimbia Bunge limejaa Corona, mbona wanaangusha party bila hata kuzingatia safety measures!!!
Swali:CHADEMA imekufa mpaka Bunge linavunjwa?
Usihamishe Magoli!Hawa si walikimbia Bunge limejaa Corona, mbona wanaangusha party bila hata kuzingatia safety measures!!!
Kabisa Mkuu, tena anapiga watu "marisasi" mchana kweupe. Jamaa hana tofauti na Idd Amin aiseeKama jinsi magufuli asivyo na uhakika wa kurudi mpaka anapiga watu risasi.
"Hakuna kuhubiri siasa",---- Nani aliyeweka hiyo sheria batili?? aliweka kwa maana gani??.
Nani aliyetumia pesa ya umma kurubuni madiwani na wabunge wahame??
Nadhani hadi hapo Muoga umeshamjua.
Ni observation tu! Ukiamua kusimamia unachoamini endelea hadi mwisho. Hawana mask, hakuna physical distance nk..Usihamishe Magoli!
Wale mamluki watakuwa wanajisikia vibaya sana na kuona aibu!Hakika ni utukufu wake Mungu kumaliza hicho kifungo huru
PimbiWanafurahi ila moyoni hawana uwakika kama mwakani wanarudi mjengoni
Pimbi
Amin.Mungu ibariki chadema na wapenda mabadiliko wote ktk nchi hii..utuepushe na shetwani ccm na Malaika zake wote wakiongozwa na Naniliu wa chatto...tunakuomba ee mwenyezi mungu ikikupendeza tuondolee mtu mbaya kwenye taifa hili ambaye anatamani sana kuona nchi hii ikingia kwenye vita ya sisi kwa sisi Kama kwao Rwanda...ikikupendeza kabla ya October uwe umempumzisha kwenye makaburi yao ya chatto....wapenda mabadiliko woote na tuitikie Amin
Mawazo yote hapa
Wasanii hawaHawa si walikimbia Bunge limejaa Corona, mbona wanaangusha party bila hata kuzingatia safety measures!!!
Makamanda vipi, kwani corona imeisha? No barakoa nor self distance, why?