Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho


Jinga, wenzako washakunja 600m, we kaa na ushabiki wa nazi
 
Kazi ngumu na mhimu zaidi inawasubiri.

Hiyo kazi inapashwa kuanza mara moja, kwa sababu ilishachelewa kuanza kwa sababu mbalimbali.

Ni kazi ya kuwafikia wananchi, nyumba kwa nyumba na kila sehemu wananchi walipo.

Wasisubiri mikutano ya hadhara, zipo njia nyingi za kuwafikia wananchi.
 
Hakika wamepambana mpaka dakika ya mwisho na historia itawakumbuka daima.

Wamekataa kuuza utu wao kwa makuhadi wa biashara ya utumwa wa karne ya 21.
Ila Ng’ombe wa maskini hazai maana kila walipolenga kupata upenyo kulibuma. Hata ya corona ikabuma kwa maana walipoenda lockdown walifikiria kuna mbunge atakufa ili wapate Kiki. Aidha juzi mguu wa Mbowe walitegemea Kiki Lakini ikala kwao
 
Anajisikia vizuri sana na kwa furaha, kwani mategemeo yake ni kuwa wengi wao hawatarudi tena, na idadi yao itapungua.
 
Ila Ng’ombe wa maskini hazai maana kila walipolenga kupata upenyo kulibuma. Hata ya corona ikabuma kwa maana walipoenda lockdown walifikiria kuna mbunge atakufa ili wapate Kiki. Aidha juzi mguu wa Mbowe walitegemea Kiki Lakini ikala kwao
Kwani lazima afe mbunge ndio ujue Corona ni fatal, wamekufa wengi tu wananchi wa kawaida, wafanyabiashara na viongozi.
 
Kwa jinsi walivyoendesha upinzani wa kejeli na matusi, chuki na kutakiana vifo, dharau na kuhujumu serikali ili isifanikiwe kuleta maendeleo, wanaonekana ni mkusanyiko wa kundi la wapumbavu waaiokuwa na uzalendo wa nchi yao na hawapaswi tena kufanya mkusanyiko wa hivyo 2025.
 
Jinga, wenzako washakunja 600m, we kaa na ushabiki wa nazi
Kwa hiyo wewe mwenzako akikusanya malipo yake ya kihalali na kisheria unamchukia?
Sikudhani kuwa Waberoya ni masikini wa roho na akili kiasi hicho.
Kumbe chuki zako source yake ni umasikini wako?
 
Iko siku ukiachwa uwongo na ujingaujinga ndani ya chadema na Mbowe asipokuwa mwenyekiti wa kudumu watz wote watajiunga chadema...

Ntakuwa mmoja wapo
Sidhani kama patakufaa, maana hutakutana na wajinga na wenye chuki wenzako huko. Na maisha ya upweke ni magumu mno
 
Hakuna sababu kuwa na hofu ya uchaguzi unaokuja, wacha kampeni zianze, kura zipigwe, halafu tuone kama wanadhani itakuwa kazi ndogo kupora ushindi wa walio wengi.

Maneno ya mwenyekiti wao hayana nafasi mbele ya vitendo vya wapiga kura, tulieni muda ufike waone kama itakuwa rahisi kama wanavyodhani, na wakilazimisha kufanya hivyo makovu watakayoacha hawata amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…