Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

Makamanda mmeitendea haki nafasi yenu,Mungu atawalipa.
Udhalimu unaoendelea kila mtu anauona.
Watawala wamemwaga damu na maisha za wenye haki bila woga,hakika wamejitwalia laana na chukizo.
Furaha walio nayo ni ya muda,bali mateso na dhiki zitawaandama wao na familia zao.
 
Kwa wana saikolojia unaona kabisa hapo hakuna furaha.Ni kama pale ambapo mtu anapolazimishwa na jambazi kuwa acheke wakati anamuibia.Jaribuni kusoma hata macho yao.
Mlilikimbia bunge kwenda kwa kile mlichokiita nyinyi 'karantini'.Yaani mliweka kizuizi baina yenu na wananchi mnaowawakilisha.
Mmemaliza bunge salama wakati katikati mlikimbia ?
Ndiyo maana mnatengeneza furaha lakini macho yenu yana washtaki.MACHO HUWA YANAONGEA.
 
Yesu wa CCM ana roho ndogo sana
 
Amen
 
Huyu c miongoni mwa wafuasi wa andunje nadhan ulimsikia alipokuwa akihadithia hist.ya maisha yake
Kwa hiyo wewe mwenzako akikusanya malipo yake ya kihalali na kisheria unamchukia?
Sikudhani kuwa Waberoya ni masikini wa roho na akili kiasi hicho.
Kumbe chuki zako source yake ni umasikini wako?
 
Kumbe wamebaki wengi tu!

Amandla...
 
Kwa hiyo wewe mwenzako akikusanya malipo yake ya kihalali na kisheria unamchukia?
Sikudhani kuwa Waberoya ni masikini wa roho na akili kiasi hicho.
Kumbe chuki zako source yake ni umasikini wako?
Watu dizaini ya andunje ndivyo walivyo.
 
Gharama kubwa Sana kupitia Kodi zetu ambayo imetumika kupambana na upinzani then work done is equal to zero,yaani wametwanga maji, wameukimbiza upepo,hizo gharama zingetosha kabisa kujenga vyoo na kumaliza uhaba wa shule nchini,lkn wametumia vibaya Kodi yetu kupambana na upinzani badala ya kupambana na umasikini wetu.Hichi ni kipimo tosha awafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…