Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana

 
Hii chatGPT ina accuracy kubwa na inaandika fasta wakati ikiwa kwenye hatua ya beta lakini model yake inategemea majibu ya internet Sana Kwa organization level naiona kama bado ni chalenji hasa zile ambazo hazina infrastructure ya kuhifadhi data Kwa mtindo WA digitali na haya mabando ya bei serikali inatengeneza ugumu Sana WA uundaji WA AI zitakazoelewa lugha ya kiswahili

Niliendelea kuuliza na majibu yalikuwa ya kulizisha

Unaweza kuchati Kwa linki hii
 
Hii kitu nimekuwa nikicheza nayo kama week sasa, kwa kweli hii kitu iko vizuri sana na nimeipenda sana, nimeijaribu vitu vingi, niliiambia iandikie love letter to my x girlfriend, nikaiuliza iniambie kuhusu Julius Nyerere na inionyeshe speech yake ambayo ni muhimu sana.

Nikaiambie inifundishe calculus, nikaiambia iniandikie thank you note to my co worker, nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli I was impressed na majibu yake na kila kitu chake, ni kama unaongea na binadamu mwenzako ambaye ni genius na ana majibu yote, ijaribuni then muweke matokeo hapa.
 
Tunaipata wapi
 
Sasa hii si itatumika kama mlungula kwa wanafumzi vilaza na tutaendelea kupeana zawadi za phd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…