Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

Google wamekuja na Ai yao inaitwa Bard Ai this is more advanced than the ChatGpt.. ina accomodate alot of languages and data too
Screenshot_20240203-114336_Chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20240203-114336_Chrome.jpg
    Screenshot_20240203-114336_Chrome.jpg
    254.9 KB · Views: 15
habari Moneyhollic.

nataka nijiunge CopyTrading. Nikamcheki admin.
nashangaa Link ya kufungua account amenipa ya Equiti badala ya FXpesa.
hii imekaaje mzee? kuna mabadiliko ama?

Broker mwenyewe (Equiti) hana payment system ya MPESA/TIGO!!
inakuaje hapo mzee... nilitaka nifund account ila nimepata mashaka.
Sijui kama TZ kuna any regulation body ya Forex trading, kuwa makini usije kupoteza pesa zako kizembe
 
Back
Top Bottom