Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

...isije ikanijia usiku!
 
Ni kweli Mzee , watu wanashindwa kuelewa kwamba ni lazima uwe na knowledge kwanza ya kitu Fulani, Ndio AI ije ikusaidie.

Mfano mtu kasomea account alafu , anata kuwa na website yake, anaona ubahili wa kumlipa programer , anaamua kutumia AI, ku generate codes
Ki ukweli codes atazipata lakini , functions za hizo codes bado Kwake zitakuwa n kiza kinene
 
NA waona vijana wa fainal Year projects za IT wamepata kitonga mno.

Nakumbuka enzi zetu ilikuwa lazima ujue line by line, ikitokea errors kwenye system yako unachanganyikiwa ,

Nakumbuka laptop zilikuwa hazizimwi mpaka mtu afanye presentation yake,

Ila SS mambo yamebadilika kabisa Yan 😂,

Vyuo vyetu na vyo inabidi wabadilike kuendena na technology ya ss
 
Wa

Wajinga wasiopenda kusoma contents itawasaidia sana!
Mfano hapo hiyo AI ghost inaandika moja ya tatizo Tanzania ni political instability sababu ya coups!!!
Coups in Tanzania ?!! Wajinga sana nyie!
Ngoja nikukumbushe,
Nyerere majaribio ya kumpindua yalifanyika mangap?
Chatgpt Ina cheza mulemule Mzee 🤣
 
Kwisha kazi , nikasome PhD ss
 
Wanavitu vingi + huhafidhina , wanashindwa kuvieendeleza
 
Watu wenye akili kubwa ndio vitu gani, kabla sijakwambia nothing can beat human mind nikuulize kwanza, unajua research funding zinatokana na interests na affiliation? Robots inaweza tambua hiyo?
How many inf can you process per sec compared to robot.
Robot ipo connected na internet. In other way robot is also internet. Wewe mpaka ugoogle wakat robot ina access hio inf kama sehemu yake ya akili.
Hivi waafrika tunajiita tuna akili, tuneunda nini?
Gari ina zaidi ya miaka 200 tangu ugunduzi lakini hakuna mbongo mwenye kiwanda cha kuunda hayo magari zaidi ya uwakala.
Waafrka pekee ndio waliokosa teknolojia za kisasa kama kuunda hizo robot halaf ujipige kifua mbele eti una akili kuliko roboti, hizo akili zipo wapi.
Tofautisha utashi na akili.
Waseme waliounda hayo maroboti sio wewe na mimi tunajifariji tu hapa japo utabisha.
 
Do you remember how the Xiaomi 12S Ultra did not launch outside China even though it had the potential to become one of the bestselling smartphones? Yes, we are still bitter about that, too. But today, we have some sweet, sweet news! The Xiaomi 13 Pro, the company's most current flagship, is what the road to redemption looks like and everyone's chance to own an even better and more refined Ultra.

Indeed, the flagship Xiaomi 13 duo has officially launched on the global markets, and the Xiaomi 13 Lite premium mid-ranger also tags along for the ride. The Xiaomi 13 and Xiaomi 13 Pro are part of the selected few smartphones to pack the new Snapdragon 8 Gen 2 chipset. But while the Xiaomi 13 is a compact device with a rather mainstream camera, the Xiaomi 13 Pro is all-in across all aspects, camera included.

Tafadhali tafsiri hiyo paragraph kwa Kiswahili
------------------------------------------------------------------------------------------------------

Nimeiambia ChatGPT itafsiri hii paragraph kwa Kiswahili, translation yake ipo hivi[emoji116][emoji116]



Je, unakumbuka jinsi Xiaomi 12S Ultra haikuzinduliwa nje ya China licha ya uwezo wake wa kuwa moja ya simu bora za kuuza? Ndiyo, sisi pia tunakasirika juu ya hilo. Lakini leo, tunayo habari njema sana! Xiaomi 13 Pro, bendera ya kampuni hiyo, ndiyo inayotupeleka kwenye njia ya ukombozi na nafasi ya kila mtu kuwa na Ultra bora zaidi na iliyopangwa vizuri zaidi.

Kwa kweli, bendera ya Xiaomi 13 imezinduliwa rasmi kwenye masoko ya ulimwengu, na Xiaomi 13 Lite pia imeambatana kwenye safari hiyo. Xiaomi 13 na Xiaomi 13 Pro ni sehemu ya simu chache zilizochaguliwa kuwa na chipset mpya wa Snapdragon 8 Gen 2. Lakini wakati Xiaomi 13 ni kifaa kidogo na kamera ya kawaida, Xiaomi 13 Pro ni ya hali ya juu katika kila jambo, ikiwa ni pamoja na kamera.
------------------------------------------------------------------------------------------------------

Lakini nilipoiambia Google itranslate hiyo paragraph ikatranslate hivi [emoji116][emoji116]

Je unakumbuka jinsi Xiaomi 12S Ultra haikuzinduliwa nje ya Uchina ingawa ilikuwa na uwezo wa kuwa mojawapo ya simu mahiri zinazouzwa sana? Ndio, bado tuna uchungu juu ya hilo, pia. Lakini leo, tuna habari tamu, tamu! Xiaomi 13 Pro, kinara wa sasa wa kampuni, ni jinsi njia ya ukombozi inavyoonekana na nafasi ya kila mtu kumiliki Ultra bora zaidi na iliyosafishwa zaidi.

Hakika, wawili hao wawili wa Xiaomi 13 wamezinduliwa rasmi kwenye masoko ya kimataifa, na Xiaomi 13 Lite premium mid-ranger pia hutambulisha safari hiyo. Xiaomi 13 na Xiaomi 13 Pro ni sehemu ya simu mahiri chache zilizochaguliwa ili kupakia chipset mpya ya Snapdragon 8 Gen 2. Lakini wakati Xiaomi 13 ni kifaa kidogo kilicho na kamera ya kawaida, Xiaomi 13 Pro inapatikana katika nyanja zote, pamoja na kamera.

------------------------------------------------------------------------------------------------------

INGAWA ZOTE ZINA KISWAHILI KIBAYA LAKINI GOOGLE NAONA IMETAFSIRI VIZURI KULIKO CHATGPT
 
Google wana experience ya muda mrefu ya translation kupitia google translate. Vita ya AI kama itapiganwa kati ya google na microsoft basi google mapema atashinda mana microsoft ni wahafidhina sana.

Sababu kuu ni kwamba google wana database kubwa zaidi ya personal data. Imagine emails zote zinazotumwa kupitia gmail google wana access, bado kuna android phones, etc.

Hii itawafanya monetization kwao iwe rahisi wakati microsoft wanaumiza kichwa jinsi ya ku monetize bing na other microsoft products.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…