Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

chatgpt ina kiswahili Bomba kuliko Google translation kwenye maeneo mengi
 
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
NI HATARI NA NUSU ILA TUU HAWAELEKEZI KUTENGENEZA MABOMU AU ILLEGAL THINGS
 
Google ni mzee kuliko chatgpt.
Chatgpt atakuwa na open door kuweza kurahisisha watu wajazie, kumbuka chatgpt anajifunza jama wewe na mimi.
Google is closed for them self, sisi hatuna nafasi.
Tusubiri tumuone google bard AI itakujaje.
MImi ninaamini google bard atakuwa bora zaidi kwa sababu google company anamiliki data kubwa sana kulinganisha na open AI.

Nimeipenda sana POENG the AI behind quora. Hii ime intergrate Most Advanced AI,
KUBWA zaidi ameweka mlango wa mtu kuamua atumie AI kwa matumizi yake binafsi na kulingana na mahitaji ya taasisi yake hivyo tutegemee kutakuwa na innovation za kufa mtu kwenye poeng.
D Angelo ceo of QUORA falsafa yake kubwa ilikuwa user ownership vs company ownership.
Sidi tujikite zaidi kujifunza kuwa wabunifu kuweza kutumia milango ilio ktk AI kwa mahitaji yetu binafsi.
Mfano.
Wamiliki wa JF wanaweza kuutumia mlango ulio ktk POENG kuunganisha JF na AI na kuleta sura mpya ya JF yenye pande mbili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta makosa kwa nguvu kubwa
Watu wanaangalia makosa wanashindwa kuangalia innovation yenyewe.
"This is the game changer".
Tushukutu mungu tunaishuhudia ktk maisha yetu, ni kama wale walioshuhudia teknolojia kubwa zikigunduliwa ktk umri wao hasa Ulaya na Asia.
Ni jambo kubwa sana.
Miaka 10 ijayo kutakuwa na "paradigm shift" watakaoshindwa ku cope itakula kwao.
Waache waendelee kuwa conservative. Wamesahau siku hizi simu za waya zipo makumbusho.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona unatafuta makosa kwa nguvu kubwa
ChatGPT naikubali Sana tena kuliko Google na huwa naitumia kwa vitu useful ili ku-gain knowledge
But sometimes I like to study ChatGPT itself so najiuliza maswali ya ovyo ili kuona response yake
ChatGPT ndio imefanya nipunguze kukesha Google
 
ChatGPT naikibali Sana tena kuliko Google na huwa naitumia kwa vitu useful ili ku-gain knowledge
But sometimes I like to study ChatGPT itself so najiuliza maswali ya ovyo ili kuona response yake
ChatGPT ndio imefanya nipunguze kukesha Google
Hiyo ni hatari sana,unaweza kuchati kama unachati na mtu vile
 
Nimeamua kuwa mwanamuziki sasa, nimegundua kuna tools nyingi sana zinazotumia artificial intelligence,zinaweza kufanya full production mpaka kwenye youtube video, nitakuwa natoa hit after hit, subirini vitu, sasa najifunza Soundraw and other AI music generative tools
 
Kwa wanaopenda kutengeneza music ingia hapa upate fursa, Diamond wa mitandaoni tutakuwa wengi sasa
 
Mkuu mbona tools za kuondoa plagiarism zipo nyingi sana? Pia zipo site kibao tu ambazo unaweza ku summarise paper online. Hiyo app itakuwa ime simplify tu lakini sioni cha ziada.
Mkuu unaeza kunisaidia tool ya kucheki plagiarism
 
ChatGPT made easy! Try it here: Use ChatGPT from ***** Stack

How to use it:

1. Go here: Use ChatGPT from ***** Stack
2. Paste your API Key and Save
3. Click "New chat" on the side bar

Optional:

4. Select a pre-made prompt and/or type your question, comment, suggestion, or anything that you need help with etc., and click Send

You can also click the microphone and speak to chat with ChatGPT.

All messages are stored in your browser's local storage, so everything is private. You can also close the browser tab and come back later to continue the conversation.

There are the following pre-made prompts that act like expert assistants in their respective fields:

Linux Terminal
English Translator and Improver
position Interviewer
JavaScript Console
Excel Sheet
English Pronunciation Helper
Spoken English Teacher and Improver
Travel Guide
Plagiarism Checker
Character from Movie/Book/Anything
Advertiser
Storyteller
Football Commentator
Stand-up Comedian
Motivational Coach
Composer
Debater
Debate Coach
Screenwriter
Novelist
Movie Critic
Relationship Coach
Poet
Rapper
Motivational Speaker
Philosophy Teacher
Philosopher
Math Teacher
AI Writing Tutor
UX/UI Developer
Cyber Security Specialist
Recruiter
Life Coach
Etymologist
Commentariat
Magician
Career Counselor
Pet Behaviorist
Personal Trainer
Mental Health Adviser
Real Estate Agent
Logistician
Dentist
Web Design Consultant
AI Assisted Doctor
Doctor
Accountant
Chef
Automobile Mechanic
Artist Advisor
Financial Analyst
Investment Manager
Tea-Taster
Interior Decorator
Florist
Self-Help Book
Gnomist
Aphorism Book
Text Based Adventure Game
AI Trying to Escape the Box
Fancy Title Generator
Statistician
Prompt Generator
Instructor in a School
SQL terminal
Dietitian
Psychologist
Smart Domain Name Generator
Tech Reviewer:
Developer Relations consultant
Academician
IT Architect
Lunatic
Gaslighter
Fallacy Finder
Journal Reviewer
DIY Expert
Social Media Influencer
Socrat
Socratic Method
Educational Content Creator
Yogi
Essay Writer
Social Media Manager
Elocutionist
Scientific Data Visualizer
Car Navigation System
Hypnotherapist
Historian
Astrologer
Film Critic
Classical Music Composer
Journalist
Digital Art Gallery Guide
Public Speaking Coach
Makeup Artist
Babysitter
Tech Writer
Ascii Artist
Python interpreter
Synonym finder
Personal Shopper
Food Critic
Virtual Doctor
Personal Chef
Legal Advisor
Personal Stylist
Machine Learning Engineer
Biblical Translator
SVG designer
IT Expert
Chess Player
Midjourney Prompt Generator
Fullstack Software Developer
Mathematician
Regex Generator
Time Travel Guide
Dream Interpreter
Talent Coach
R programming Interpreter
StackOverflow Post
Emoji Translator
PHP Interpreter
Emergency Response Professional
Fill in the Blank Worksheets Generator
Software Quality Assurance Tester
Tic-Tac-Toe Game
Password Generator
New Language Creator
Web Browser
Senior Frontend Developer
Solr Search Engine
Startup Idea Generator
Spongebob's Magic Conch Shell
Language Detector
Salesperson
Commit Message Generator
Chief Executive Officer
Diagram Generator
Life Coach
Speech-Language Pathologist (SLP)
Startup Tech Lawyer
Title Generator for written pieces
Product Manager
Drunk Person
Mathematical History Teacher
Song Recommender
Cover Letter
Technology Transferer
Unconstrained AI model DAN
Gomoku player
Proofreader
Buddha
Muslim imam
Chemical reactor
Friend
Python Interpreter
ChatGPT prompt generator
Wikipedia page
Japanese Kanji quiz machine
note-taking assistant
language Literary Critic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…