mmh!! DUCE kama clinic

mmh!! DUCE kama clinic

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
1,166
Reaction score
555
habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake huo hali iliyopo sasa DUCE kidogo inashangaza kwani kuna idadi kubwa mno ya wanafunzi wa kike wanaosoma wakiwa na ujauzito kwa haraka haraka tathmini inaonyesha katika kila wanawake kumi utakaokutana nao duce saba wana ujauzito sasa sijui masomo wanayosoma ni mepesi sana au wanashindwa kujizuia au hawatumii chachandu au ni maamuzi tu but all in all kila rakheri katika masomo yenu.
 
Kumbe siku hizi wanawake kubeba mimba ni ajabu??Mkuu wangekuwa wanaume,kwa kweli kila mtu angeshangaa.Sijaona cha ajabu hapo hata kama wanasoma maana ni watu wazima wanajua wanafanya nini.
 
wanafunzi wengi wanaosoma Education, Mawazo yao muda wote ni kuolewa tu. wako tayari hata kukutegeshea mimba ili Mradi akujengee mazingira ya Kumuoa. lakini Asilimia kubwa ni wife Materials, Na wanaume wengi wanapenda kuwaoa wanawake wa Design hiyo. Wanaamini kwamba watakuwa na Ethics nzuri za kulea familia
 
Bebesha na wako labda ndo joinig instruction hiyo ya DUCE kumbuka pale watu wazima wengi.
 
Neno moja laweza kuwa na maana nyingi...
Kama uzima wa umri naweza sema sawa; ila kama ni AFYA...:nono:
 
habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake huo hali iliyopo sasa DUCE kidogo inashangaza kwani kuna idadi kubwa mno ya wanafunzi wa kike wanaosoma wakiwa na ujauzito kwa haraka haraka tathmini inaonyesha katika kila wanawake kumi utakaokutana nao duce saba wana ujauzito sasa sijui masomo wanayosoma ni mepesi sana au wanashindwa kujizuia au hawatumii chachandu au ni maamuzi tu but all in all kila rakheri katika masomo yenu.

Mkuu acha kudanganya watu bwana, DUCE haiko mbali kiasi udhani unayepahamu ni wewe tu, wanawake wajawazito DUCE wapo kama ambavyo wapo katika vyuo vikuu vingine, hiyo ratio ya 7/10 is very far exagerated...
 
waache waprove materials yao kama yanafanya kazi. Kusoma nini kama hujui unamsomea nani. na wanaonyesha kweli wanatumia.

HHHHHHHaaaaaaaaaaHHHHH!
 
wanafunzi wengi wanaosoma
Education, Mawazo yao muda wote ni kuolewa tu. wako tayari hata
kukutegeshea mimba ili Mradi akujengee mazingira ya Kumuoa. lakini
Asilimia kubwa ni wife Materials, Na wanaume wengi wanapenda kuwaoa
wanawake wa Design hiyo. Wanaamini kwamba watakuwa na Ethics nzuri za
kulea familia

Kwa kuongezea Walimu wana uhakika wa ajira baada ya kuhitimu, fikiria mtu anasoma Law, Sociology, Fine Arts, Political science n.k ingekuwaje?
 
Dk Savinus
Maronga aliliambia gazeti
hili kuwa baada ya kuona
kuna watu wengi
wanaopenda kuendelea
na masomo ya elimu ya
juu, lakini wameshindwa
kutokana na kutokuwa na
vigezo, TCU imeamua
kuanzisha mitihani hiyo
maalumu
 
Walimu huwa wanawaza ngono muda wote tu.over
 
mwanamke at 18 anafaa aolewe kama hapana kizuizi chochote,kwanza ni walimu (descent) alafu umri unawaruhusu sioni ajabu.
 
Neno moja laweza kuwa na maana nyingi...
Kama uzima wa umri naweza sema sawa; ila kama ni AFYA...:nono:

Yaani we mwehu kweli inamaana huwezi kuunganisha doti ukajua nazungumzia nini? Ila una jina kama la bwana wangu japokuwa yeye anaitwa WILLIAM
 
Kumbe siku hizi wanawake kubeba mimba ni ajabu??Mkuu wangekuwa wanaume,kwa kweli kila mtu angeshangaa.Sijaona cha ajabu hapo hata kama wanasoma maana ni watu wazima wanajua wanafanya nini.

Hashangai wanawake kubeba mimba bali anashangaa idadi kubwa ya waliobeba mimba huku wakiwa wanasoma.
 
Back
Top Bottom