habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake huo hali iliyopo sasa DUCE kidogo inashangaza kwani kuna idadi kubwa mno ya wanafunzi wa kike wanaosoma wakiwa na ujauzito kwa haraka haraka tathmini inaonyesha katika kila wanawake kumi utakaokutana nao duce saba wana ujauzito sasa sijui masomo wanayosoma ni mepesi sana au wanashindwa kujizuia au hawatumii chachandu au ni maamuzi tu but all in all kila rakheri katika masomo yenu.
Neno moja laweza kuwa na maana nyingi...Bebesha na wako labda ndo joinig instruction hiyo ya DUCE kumbuka pale watu wazima wengi.
habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake huo hali iliyopo sasa DUCE kidogo inashangaza kwani kuna idadi kubwa mno ya wanafunzi wa kike wanaosoma wakiwa na ujauzito kwa haraka haraka tathmini inaonyesha katika kila wanawake kumi utakaokutana nao duce saba wana ujauzito sasa sijui masomo wanayosoma ni mepesi sana au wanashindwa kujizuia au hawatumii chachandu au ni maamuzi tu but all in all kila rakheri katika masomo yenu.
waache waprove materials yao kama yanafanya kazi. Kusoma nini kama hujui unamsomea nani. na wanaonyesha kweli wanatumia.
HHHHHHHaaaaaaaaaaHHHHH!
wanafunzi wengi wanaosoma
Education, Mawazo yao muda wote ni kuolewa tu. wako tayari hata
kukutegeshea mimba ili Mradi akujengee mazingira ya Kumuoa. lakini
Asilimia kubwa ni wife Materials, Na wanaume wengi wanapenda kuwaoa
wanawake wa Design hiyo. Wanaamini kwamba watakuwa na Ethics nzuri za
kulea familia
Neno moja laweza kuwa na maana nyingi...
Kama uzima wa umri naweza sema sawa; ila kama ni AFYA...:nono:
wana bodi!!!
hawatumii chachandu
Kumbe siku hizi wanawake kubeba mimba ni ajabu??Mkuu wangekuwa wanaume,kwa kweli kila mtu angeshangaa.Sijaona cha ajabu hapo hata kama wanasoma maana ni watu wazima wanajua wanafanya nini.
Hashangai wanawake kubeba mimba bali anashangaa idadi kubwa ya waliobeba mimba huku wakiwa wanasoma.