mmh!! DUCE kama clinic

mmh!! DUCE kama clinic

tatizo waalimu wengi wanatembea ch**p* zkiwa magotini au hawavai kabisa tena ile mida ya discusion anakuja na kanga moja unategemea nini?
 
tatizo waalimu wengi wanatembea ch**p* zkiwa magotini au hawavai kabisa tena ile mida ya discusion anakuja na kanga moja unategemea nini?
 
Yaani we mwehu kweli inamaana huwezi kuunganisha doti ukajua nazungumzia nini? Ila una jina kama la bwana wangu japokuwa yeye anaitwa WILLIAM
Mmmmh! Mtata weye?! Unaniponda halafu unanifagilia...
Hapo kwenye bwn wako ni mume au mkuu wako wa kazi au Bwn gani?!
Tuko pamoja just kidding...
 
Safi sana. Mkazaane muijaze dunia. Mambo kusubiri mpaka hela zitoshe ni kupoteza muda natamani ratio ingekuwa 9/10. hiyo moja ibaki kwa ajili ya wagumba na wale wataalamu wa kupangisha foleni wanaume na wakipata mimba hawajui wamepata na nani hivyo wanaiondoa faster na kuitupilia jalalani. Ila chonde chonde hao watoto mtakao wazaa wawe na baba mmoja, sio rundo la card za clinic kila moja ina jina la baba tofauti kwa mtoto yule yule.
 
mmh hv mimba inahusiana vp na kusoma?afuu hii alowaambia kuwa education masomo marahc ali2mia vigezo vp?2cdanganyane kichwa cha m2(ufahamu)ndo kipimo sahihi cha ugumu na wepes wa masomo!!
 
Mkuu acha kudanganya watu bwana, DUCE haiko mbali kiasi udhani unayepahamu ni wewe tu, wanawake wajawazito DUCE wapo kama ambavyo wapo katika vyuo vikuu vingine, hiyo ratio ya 7/10 is very far exagerated...
.??????????????????????????????
 
Huko DUCE cha mtoto njoo Muce katika kila 10 nakuambia8wanamimba,ni fassion huku,ila uhuru nilwa kila mtu,japo fanya moja kwanza
 
habari wana bodi!!!
nikawaida kwa mwanafunzi wa masomo ya juu kusoma hata kama akiwa na ujauzito ilimradi awe na uwezo wa kuyahandle mambo yote hayo kwa wakati mmoja,lkn pamoja na ukawaida wake huo hali iliyopo sasa DUCE kidogo inashangaza kwani kuna idadi kubwa mno ya wanafunzi wa kike wanaosoma wakiwa na ujauzito kwa haraka haraka tathmini inaonyesha katika kila wanawake kumi utakaokutana nao duce saba wana ujauzito sasa sijui masomo wanayosoma ni mepesi sana au wanashindwa kujizuia au hawatumii chachandu au ni maamuzi tu but all in all kila rakheri katika masomo yenu.


haya bwana hapo kwenye red nani kakuambia kua masomo wanaosoma ni mepesi? hao we ndio akina Kawambwa kua ipitishwe sheria wanafunzi wenye ujauzito wasiendelee na masomo elimu ya juu badilika mkuu kwani wale ni watu wazima angekua hajielewi asingefika hapo.


the difference between stupidity and genius is that genius has its limits- Albert EINSTEN
 
Dk Savinus
Maronga aliliambia gazeti
hili kuwa baada ya kuona
kuna watu wengi
wanaopenda kuendelea
na masomo ya elimu ya
juu, lakini wameshindwa
kutokana na kutokuwa na
vigezo, TCU imeamua
kuanzisha mitihani hiyo
maalumu

See huyo Dr maronga unaemzungumzia ni yule wa CPE au
 
Ujauzito nini ajabu, ukizingatia wengi halo duce ni inservice...
 
Back
Top Bottom