Mmh! hapa Diamond umetupiga changa la macho

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Sio kama namdharau lakini hiki sio kiingereza cha Diamond.

Attachments

  • 1395690699799.jpg
    54.4 KB · Views: 3,484
Ni bora ungeandika hcho hcho kiingereza chako kibovu, hata unapokosea watu wajue wanakurekebisha vipi ,kuliko kufanya ivi, be your self brother, hii sio lugha yetu , wote tunajifunza , hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu.
 
Kaandikiwa na wema hicho hata hivyo bado sanaaa.......

Hivi kwanini wanapenda kutumia hiyo lugha wakati wanaowafollow wengi ni mburulaz? wanaelewa kweli?

Watu wajinga huamini English ni superior kuliko nyingine wakati hakuna lugha bora zaidi ya nyingine kwakuwa lugha zote hukidhi mahitaji ya watumiaji wake.....
 
CodeR GodivA
Nadhani wewe una akili timamu, Mimi siandiki kishabiki humu, sina urafiki na super star yeyote, akifanya vizuri anasifiwa akiboronga anaambiwa, jaribu Kufikiria mda mwingine kabla ya Ku post
 
Last edited by a moderator:
Anaandikiwaa na Wemaa hilo halina ubishiiii
 
Jamani jamanj mweeee! Hivi mlishawahi kuwa walimu wake? Huenda kaandika mwenyewe, its possible

Sent from Nokla using Jf app

Yaan hata unikate kichwaa sibadilishiii unataka ligii ntakuacha mwenyeweee
 
lusungo umepoteaa leo siwaon kabisaaa msalimie Excel na mkewe pia Evelynsalt waambie nawatakia usiku mwemaa nyoteee
 
Last edited by a moderator:
Yaan hata unikate kichwaa sibadilishiii unataka ligii ntakuacha mwenyeweee

OMG! Haya ebu ona hiki cha Boss wa facebook

Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu

Sent from Nokla using Jf app
 
Last edited by a moderator:
Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu

Sent from Nokla using Jf app[/QUOTE]
Kina nyani wanazingua tu,wamesoma riwaya zao huku wakiona verbs mpya wanafanyia mazoezi ya kutumia humu
 
Last edited by a moderator:
OMG! Haya ebu ona hiki cha Boss wa facebookView attachment 146940

Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu

Sent from Nokla using Jf app

Hahhhahhhahha ngoja aje akikuandikiaa hapa unaenda na kulazwaa na mi siji kukuonaa
 
Last edited by a moderator:
OMG! Haya ebu ona hiki cha Boss wa facebookView attachment 146940

Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu

Sent from Nokla using Jf app

Ila hiki nilikichukua siku nyingi nimuonyeshe Nyani Ngabu jinsi kilivyo simpo na clear kuliko kile anachotupigs nacho mkwara humu

Nyie jamaa mnanishangaza sana. Kama hicho Kizungu changu mnakiona kigumu ilhali ni cha kuunga unga tu sasa kile chenyewe kilicho kigumu haswa sijui mtakionaje!
 
Nyani kuna sehemu nataka unitafsrie umenipa chenga la macho kule kwenye uzi wako wa young money lol
 
waliojua kidhungu ukubwan kama akina Nyani Ngabu na Kiranga ndio hupenda kingereza kigumu ili waonekana wanajua sana ki-malkia kumbe weupee
 
Last edited by a moderator:
Anaandikiwaa na Wemaa hilo halina ubishiiii

Nimeona IG na nikasema hivyo hivyo. Hizo ma Dat, wen, jus, da, ni lugha ya Wema. Mwanamke mzima bado anaforce teenage hood. Act your bra size not your shoe size
 
Hebu mumie naomba kwanza unitafsirie hicho cha boss wa Kifesi!.......Lol

Mamaeee acha hizo mi nilidhan unataka unitafsirie kule kwa nyani kuna makubwaaa mwanawane halaf vip mbona wanatukatia sana umeme au we upo mtaa wa mavibopa hawakatii
 
Nadhani wewe una akili timamu, Mimi siandiki kishabiki humu, sina urafiki na super star yeyote, akifanya vizuri anasifiwa akiboronga anaambiwa, jaribu Kufikiria mda mwingine kabla ya Ku post

.
Sasa point yako imekaa wapi?
Au mm kinasehemu nimemponda warumi ?
.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…